loader
Dstv Habarileo  Mobile
Kundi la tembo ‘latinga’ chuo kikuu

Kundi la tembo ‘latinga’ chuo kikuu

KUNDI la tembo nane wameonekana wakipita eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma karibu na Hospitali ya Benjamin Mkapa, leo asubuhi (Oktoba 31,2019).

Hata hivyo, Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), Paschal Shelutete alipoulizwa kuhusu suala hilo, ameeleza kuwa anafanya mawasiliano na Wizara ya Maliasili na Utalii kujua undani wake.

Hii si mara ya kwanza kwa tembo kuonekana wakipita eneo hilo. Mnamo Mei 9, 2017, kundi la tembo wanne walionekana kupita katika mazingira hayo pia, lakini hawakusababisha madhara yoyote.

Wanyama hao wanasifika kwa kutunza kumbukumbu na endapo alitumia njia fulani miaka 50 iliyopita anaweza kuirudia.

https://apps.tsn.go.tz/public/uploads/abad048944e38623b18a735e25283d92.jpg

ALIYEKUWA Mbunge Mteule wa Jimbo la Konde ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi