loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mourinho akubali Tottehham walizidiwa na Man United

KOCHA wa Tottenham, Jose Mourinho ameibuka na kusema kuwa hawakupoteza mechi kwa sababu wachezaji wake waliidharau Manchester United. Juzi Jumatano, Tottenham walikubali kipigo cha mabao 2-1 wakiwa ugenini katika dimba la Old Trafford kucheza na wenyeji wao Manchester United huku wakiwa na kumbukumbu ya kushinda mechi tatu za nyuma wakiwa chini ya Mourinho.

Marcus Rashford aliifungia United bao la kuongoza kabla ya Dele Ali kusawazisha na huku wakiwa kwenye harakati za kupata bao la pili walijikuta wakiongezwa bao la pili kupitia kwa Rashford aliyekuwa kwenye kiwango bora kwenye mchezo huo. 

S IKU 414 baada kuanza kwa msimu wa Ligi ya ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, England

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi