loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Shule 10 zilizofanya vizuri matokeo kidato cha nne

Kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa leo, Alhamisi, shule 10 zilizofanya vizuri zaidi kwenye mtihani huu kitaifa zinatoka katika mikoa kmbalimbali.

Shule hizo ni pamoja na Kemebn, St. Francis Girls ya Mbeya, Feza Boys ya Dar es Salaam, Canossa ya Dar es Salaam na Anwarite Girls ya Kilimanjaro.

Nyingine ni Precious Blood ya Arusha, Marian Boys ya Pwani, St Augustine Tagaste ya Dar es Salaam, Maua Seminari ya Kilimanjaro na Musabe Boys ya Mwanza.

Shule 10 zilizoibuka kidedea kwenye mitihani ya kidato cha pili ni pamoja na St. Francis ya Mbeya, Kemebos ya Kagera, Centennial Christian Seminary ya Pwani, Thomas More Machrina ya Pwani, Bethel Sabs Girls ya Iringa na St. Augustine Tagaste ya Dar es Salaam.

Shule nyingine ni pamoja na Bright Future Girls ya Dar es Salaam, Anwarite Girls ya Kilimanjaro, Feza Girls ya Dar es Salaam na Canossa pia ya Dar es Salaam.

KAYA zilizobainika kuwa na historia ya kutochukua mara ...

foto
Mwandishi: Janeth Mesomapya

1 Comments

  • avatar
    Acleus deus
    25/01/2020

    Napenda kuwashukuru walimu wote waliofanikisha wanafunzi na shule walio fanya vizuri hongereni sana

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi