loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Rais Magufuli afanya uteuzi mpya

Rais John Magufuli amemteua Gerald Kusaya kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhandisi Mathew Mtigumwe ambaye atapangiwa kazi nyingine.

Taarifa iliyosainiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU, na kusambazwa leo asubuhi inaeleza kuwa kabla ya uteuzi huo, “Kusaya alikuwa mwenyekiti wa Timu Maalum iliyoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuchunguza masuala mbalimbali katika tasnia ya zao la mkonge mkoani Tanga.”

Uteuzi wa Katibu huyo unaanza mara moja kuanzia leo, Machi 5, 2020.

WATOTO 84,625 waliokuwa na utapiamlo mkali, wametibiwa kuanzia mwanzoni mwa ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi