loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

NEC yaandikisha wapigakura zaidi ya milioni 30

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema  jumla ya wapigakura walio kwenye daftari ya kudumu la wapigakura ni milioni 30.18

Idadi hiyo inaweza kubadilika iwapo itabainika wapigakura   waliojiandikisha wamefanya hivyo kwa zaidi ya mara moja.

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage ametoa takwimu hizo leo wakati akizungumza kwenye mkutano na vyama vya siasa na wadau jijini Dar es Salaam kuhusu kukamilika kwa maboresho ya daftari la wapigakura na hatua za kuliweka wazi.

Takwimu hizo zinaonesha wapiga kura wapya walioandikishwa katika daftari hilo ni milioni 7.43  huku wapigakura 16,709 wakiondolewa kwa kupoteza sifa, ikiwemo vifo.

WAANDAMANAJI katika mji wa ...

foto
Mwandishi: Ikunda Eric

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi