loader
Picha

Mwana mfalme Uingereza aambukizwa Corona

Mwana mfalme wa Wales, Prince Charles, 71, amepimwa na kukutwa na virusi vya Corona.

Kutokana na ripoti hiyo, BBC inaeleza kuwa Charles na Camilla wamejiweka karantini huko Balmoral.

Taarifa kutoka makazi ya Malkia zinasema kuwa familia ilionana na Charles kwa mara ya mwisho mnamo Machi 12.

Pamoja na maambukizi hayo, bado mwanamfalme huyo anaonekana kuwa na siha njema.

foto
Mwandishi: MWANDISHI WETU

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi