loader
Picha

Fifa yafuta mechi zote Juni

SHIRIKISHO la Kimataifa la Soka (Fifa) limefuta mechi zote za kimataifa zilizopangwa kufanyika Juni kufuatia kikao cha kwanza kiichojadili athari za virusi vya corona.

Pia imeamriwa kufanya majadiliano na mashirikisho ili kupanga ratiba kwa ajili ya kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia 2022, ambayo awali ilikuwa tayari imepangwa.

“Fifa pia imeshauri kuhusu mashindano mbalimbali kufuatia kikao cha kwanza, ambacho kiliandaliwa kwa kutumia video confence,“ ilisema taarifa ya Fifa.

Pia iliamriwa kuahishwa kwa mipango yote ya mashindano ya kimataifa ya wanawake Juni.

Baada ya uamuzi ya kuahirisha Olimpiki ya Tokyo 2020 kwa mwaka mmoja, Fifa imependekeza kuwa kuendelea kwa sheria ya umri wa kushiriki mashindanio hayo, ambapo wachezaji watakaokuwa halali ni wale waliozaliwa kuanzia Januari 1, 1997 na wachezaji watatu wenye umri mkubwa.

“Kundi hilo la Fifa litaendelea kuendesha mikutano mara kwa mara kuangalia

MSANII Faustina Charles ‘Nandy’ siku ya harusi na mchumba William ...

foto
Mwandishi: ZURICH, Uswisi

1 Comments

  • avatar
    abduly
    05/04/2020

    Comment

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi