loader
Picha

Wenye corona kuhudumiwa uwanjani

UWANJA wa Nelson Mandela (Namboole) utatumika kutoa huduma za afya, endapo idadi ya wagonjwa wa virusi vya corona itaongezeka, ambapo kwa sasa vimetengwa vituo viwili kwa ajili hiyo.

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Waziri wa Afya, Dk Diana Atwine, wakati akizungumza katika kamati ya bunge kuhusu ongezeko la bajeti ya wizara hiyo ya hadi kufikia Sh bilioni 284 kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa huo.

Akijibu maswali ya wabunge kuhusu serikali ilivyojiandaa kukabiliana na ugonjwa huo endapo idadi ya wagonjwa itaongezeka, Dk Atwine amesema kwa sasa wagonjwa wanahudumiwa katika Hospitali ya Entebbe Grade B na Hospitali ya Rufaa ya Mulago.

“Mipango yote iko tayari ya kutumia uwanja huo ikiwa hospitali hizo mbili zitazidiwa na wagonjwa kwa kutumia hospitali zinazotembea zitakazowekwa pale na kutoa huduma,” alisema.

CHAMA cha ADA- Tadea kimesema kitendo cha Mbunge wa Kawe, ...

foto
Mwandishi: KAMPALA, Uganda

Weka maoni yako

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi