loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Gigy Money kuonesha maisha yake

MWANAMUZIKI wa kizazi kipya, Gigy Money amesema kwa sasa maisha yake yanatarajia kuonekana kwenye kipindi maalum cha luninga, ambacho kitarushwa katika kituo cha mtandao wa kijamii cha Swahili Flix.

Gigy ambaye miongoni mwa wanamuziki ambao hawaishiwi na vituko, amesema maisha yake harisi ndiyo anataka kuyaonesha, hivyo huku akionesha ni jinsi gani anavyoishi na mtoto wake na mpenzi wake ikiwa sehemu ya kujitangaza.

Alisema miongoni mwa vituko ambavyo vimekuwa vikubwa kwa msanii huyo ni jinsi ambavyo anaishi na mpenzi wake Huncho mwenye asili ya Nigeria, huku akiwa amemfukuza nyumbani kwake na kumrudisha mara kadhaa kiasi cha raia huyo kuomba msaada wa kurudi nyumbani kwao.

“ Gigy ni Kiki na kama Gigy ni mimi siwezi kushindwa kuwapa mnachokitaka na mnachokitaka ni kuona ninavyoishi, navyoongea, navyokasirika navyonuna na watu wa karibu na jinsi ninavyomlea mwanangu, Mayra,” alisema.

foto
Mwandishi: Mohamed Mussa

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi

Kila mchezaji wa kigeni mil 4

masaa 20 yaliyopita Rahel Pallangyo

KLABU ya ...

Kila mchezaji wa kigeni mil 4

masaa 20 yaliyopita Rahel Pallangyo

KLABU ya ...

Simba yamuwekea kizuizi Senzo Yanga

masaa 21 yaliyopita Mohammed Mdose

SIKU moja ...