loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Unai Emery aula Villareal

Kocha wa zamani wa Arsenal, Unai Emery ametuliwa kuwa kocha wa klabu ya Villareal ya Hispania kwa mkataba wa miaka mitatu.
Unai anajiunga na timu hiyo, baada ya kukaa takribani miezi minane akiwa hana timu ya kufundisha, kufuatiwa kutimuliwa na Arsenal tangu Novemba mwaka jana.
Kocha huyo aliyewahi kuifundisha klabu ya Sevilla kwa mafanikio makubwa, anachukua nafasi ya Javier Calleja ambaye wiki iliyopita aliondoka Villareal, licha ya kumaliza nafasi ya tano katika msimamo wa ligi kuu ya Hispania, hivyo kuwahakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya Europa.

HATIMAYE kocha Dean Smith ameibuka na kubainisha jinsi nahodha wa ...

foto
Mwandishi: VILLAREAL. Hispania

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi