loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Kubaini magonjwa ya mazao sasa kiganjani

TEKNOLOJIA ya Nuru inayopatikana kwenye simu janja inamsaidia mkulima kutambua magonjwa yanayoathiri zao la muhogo.

Meneja Miradi Msaidizi wa Shirika la Kimataifa la Utafiti wa Kilimo kwa nchi za Kitropiki (IITA), Bahati Maregeri amesema kuwa teknolojia hiyo inapatikana kwa kupekua kama app nyingine kwenye simu janja.

Amesema teknolojia hiyo pia inamsaidia mkulima baada ya kutambua magonjwa anapaswa kufanya nini, hivyo inafanya kazi kwa kupiga picha sehemu iliyoathirika ya jani kisha teknolojia inasema ni aina gani ya ugonjwa na kushauri njia ya kufanya.

foto
Mwandishi: Lucy Ngowi, Simiyu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi