loader
Dstv Habarileo Mobile
Picha

Idadi kamili ya walioteuliwa kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM 

HALMASHAURI KUU ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeteua wagombea kutoka  majimbo mbali mbali 264 kwa ajili ya kuwania nafasi za Ubunge kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.

Kati ya wagombea 264, 214 wanatokea Tanzania wakati wengine 50 ni wale wanaowania majimbo yaliyopo Zanzibar.

Hata hivyo mchakato mzima umeshuhudia baadhi ya wanasiasa wakongwe na maarufu wakiwekwa pembeni na chama hicho kongwe nchini ikiwa ni pamoja na baadhi ya Mawaziri na waliokuwa wabunge miaka ya nyuma.

 Kwenye mchakato mzima, zaidi ya majina 11, 153 yalichakatwa na Leo mchana Chama hicho kilitoa majina yam wisho ya watakaowakilisha Chama hicho kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu.

 

Majina ya walioteuliwa na chama hicho ni;

 

 1. ARUSHA

Arusha mijini- Mrisho Mashaka Gambo

Arumeru Magharibi- Noah Lebrus Molel

Arumeru Mashariki- John Palangyo

Karatu- Daniel Tlemai

Longido- Stephen Kirusya

Monduli- Fred Lowassa

Ngorongoro- Ole Nasha

 

 1. DAR

Ubungo- Prof Kitila Kitila

Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu

Kinondoni- Abass Tarimba

Kawe- Askofu Josephat Gwajima

Kigamboni- Dr. Faustine Ndugulile

Ilala- Mussa Zungu

Segerea- Bonna Kamoli

Ukonga- Jerry Slaa

Temeke- Doroth Kilave

Mbagala- Abdallah Chaurembo

 

 1. DODOMA

Bahi- Keneth Nolo

Chamwino- Deo Dejembi

Mvumi- Livingstone Lusinde

Chemba- Mohammed Moni

Dodoma Mjini- Anthony Mavunde

Kongwa- Job Ndugai

Kondoa mji- Ally Juma Makoa

Kondoa Vijijini- Dr. Ashatu Kijaji

Kibakwe- George Simbachawen

Mpwapwa- George Nataly Malima

 

 1. GEITA

Busanda- Tumaini Magesa

Geita Mjini- Consatantine Kanyasu

Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)

Bukombe- Dotto Bisheko

Chato- Medard Kalemani

Mbogwe- Nicodemas Maganga

Nyang'alwe- Hussein Amar

 

 1. IRINGA

Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu

Kalenga- Jackson Kiswaga

Isimani- William Lukuvi

Kilolo- Lazaro Nyamoga

Mafinga mji- Cosato Chumi

Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe

Mufindi Kusini- David Kihenzile

 

 1. KAGERA

Bukoba mjini- Stephen Byabato

Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza

Nkenge- Frolent Kyombo

Karagwe- Innocent Bashungwa

Kyerwa- Innocent Bilakwate

Ngara- Ndaisaba Luhoro

Bihalamuro- Ezra Chiwelesa

Muleba Kaskazini- Charls Mwijage

Muleba Kusini- Oscar Kikoyo

 

 1. KATAVI

Mlele- Isack Kamwele

Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda

Mpanda Mjini- Sebastian Kapufi

Nsimbo- Anna Lupembe

Mpanda Vijijini- Moshi Kakoso

 

 1. KIGOMA

Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako

Manyovu- Dr. Philip Mpango

Buyungu- Aloyce Kamamba

Muhambwe- Atashasta Nditiye

Kigoma Mjini- Kirumbe Shabani Ng'enda

Kigoma Kaskazini- Asa Nelson Makanika

Kigoma Kusini- Nashon William

Kasulu vijijini- Augustine Hole

 

 1. KILIMANJARO

Vunjo- Charls Kimei

Siha- Dr. Godwin Mollel

Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi

Hai- Salasisha Mafue

Same Mashariki- Anne Kilango Malecela

Same Magharibi- Dr. Mathayo David Mathayo

Rombo- Prof. Adolf Mkenda

Moshi Mjini- Priscus Tarimo

Mwanga- Anania Tadayo

 

 

 

 

 

 

 1. LINDI

Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis

Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally

Liwale- Zuberi Kuchauka

Lindi Mjini- Hamida Mohammed Abdallah

Mchinga- Salma Kikwete

Mtama- Nape Nnauye

Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye

Ruangwa- Kassim Majaliwa

 

 1. MANYARA

Babati Mijini- Paulina Gekul

Babati vijijini- Daniel Silo

Hanang- Samwel Kadai

Mbulu mji- Isai Paulo

Mbulu vijijini- Flatei Gregory

Kiteto- Edward Kisau

Simanjiro- Christpher Ole Sendeka

 

 1. MARA

Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi

Musoma Vijijini- Prof. Sospeter Muhongo

Bunda Mjini- Robert Chacha Maboto

Bunda Vijijini- Boniface Getere

Mwibara- Charls Kajege

Butiama- Jumanne Sagini

Rorya- Jaffary Wambura Chege

Tarime Mjini- Mwita Michael Kembaki

Tarime Vijijini- Mwita Waitara

Serengeti- Dr. Jeresabi Mkimi

 

 1. MBEYA

Busekelo- Atupele Mwakibete

Kyela- Ally Jumbe

Lupa- Masache Kasaka

Mbalali- Franscis Mtega

Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson

Mbeya Vijijini- Oran Njeza

Rungwe- Anthony Mwantona

 

 1. MOROGORO

Mlimba- Godwin Kunambi

Kilombero- Abubakar Asenga

Morogoro mjini- AbdulAziz Abood

Gairo- Ahmed Shabiby

Malinyi- Antipas Mgungusi

Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres

Morogoro Mashariki- Hamis Shaaban Taletale

Mvomero- Jonas Vanzilad

Mikumi- Deniss Lazaro Londo

Kilosa- Prof. Palamaganda Kabudi

Ulanga- Salim Hasham

 

 1. MTWARA

Mtwara Mjini- Mtenga Hassan Selemani

Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia

Nanyamba- Abdallah Chikota

Tandahimba- Katani Katani

Newala mjini- George Mkuchika

Newala Vijijini- Maimuna Mtanda

Masasi- Geofrey Mwambe

Lulindi- Issa Mchungahela

Ndanda- Cecil David Mwambe

Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata

 

 1. MWANZA

Ukerewe- Joseph Mkundi

Ilemela- Dkt. Angelina Mabula

Sengerema- Tabasamu Hamis Mwagao

Buchosa- Erick Shigongo James

Nyamagana- Stanslaus Mabula

Misungwi- Alexander Mnyeti

Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni

Kwimba- Shanif Mansour

Magu- Bonaventura Kiswaga

 

Kwa upande wa Zanzibar, walioteuliwa ni kama ifuatavyo;

Sheha Mpemba Faki(Konde), Abdi Hija Mkasa (Micheweni), Amor Hamisi Mbarok (Tumbe), Omary Issa Kombo (Wingwi), Salimu Mussa Omary (Kando), Hamadi Hassan Chande (Kojani), Mgeni Khatibu Yahaya (Mtambwe), Abdallah Rashid Othuman (Pandani), Juma Shabani Juma(Wete), Juma Usonge Hamadi(Chaani), Yahaya A Hamisi (Kijini) na Hamisi Ali Vuai(Mkwajuni).

Wagombea wengine ni Simahi Hassan Sadiq (Nungwi), Juma Othumani Hija (Tumbatu), Mbarouk Juma Khatib(Bubwini), Sudi Mohamedi Jumaa (Donge), Abdul Hassan Mwinyi (Mahonda), Ramadhani Selemani Ramadhani(Chakecheka), Juma Mohamedi Juma(Chonga), Juma Hamdi Omari(Ole) na Hamisi Kasimu Ally(Wawi).

Wengine ni Ahamed Juma Ngwali(Ziwani), Mohamed Abdulhaman Mwinyi(Chambani), Rashid Abdallah Rashidi(Diwani), Profesa Makame Mnyaa Mbarawa(Mkoani), Hamisi Salum Ally(Mtambile), Haji Makame Mlenge(Chwaka) na Khalifa Salumu Sulemani(Tunguu).

Wengine ni Hamisi Hamza Hamisi (Uzini), Radhia Haidarusi Faina (Mkaunduchi), Jafari Sanya Jusa(Paje), Mustafa Mwinyikondo Rajab(Dimani), Abasi  Ali hasani Mwinyi(Fuoni),, Mohamed Maulidi Ali(Kiembe Samaki), Kasim Hassani Haji(Mwanakwerekwe), Haji Amour Haji(Pangawe), Mwantakaje Haji Juma (Bubu),

Wengine ni Zubeda Hamisi Shaibu(Mfenesini), Abdulhafar Idrisa Juma (Mtoni), Zahoro Mohamedi Haji(Mwele), Sale Ali (Welezo), Mussa Hassan Musa (Amani)Husi Salum Pondeza Hamjadi (Chumbuni) na Mwanahamisi Kasimu Said(Magomeni).

Wengine walioteliwa ni Salumu Hassan Abudulah (Mpendaye), Ali Juma Mohamedi(Shaurimoyo), Ali Hasani Omary (Jang'ombe), Hamadi Masauni Yusufu(Kikwajuni), Ahamada Yahaya Adbudlwakili(Kwahani) na Mohamedi Selemani Omary(Malindi).

TIMU ya  Simba imethibitisha kiungo  wake Mbrazili Gerson Fraga ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi