loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Swizz Beatz: Diamond awaeleweshe mashabiki

MTAYARISHAJI nyota wa nchini Marekani, Kasseem Dean ‘Swizz Beatz’ amesema Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ awaeleweshe mashabiki kuwa kwenye wimbo wa Alicia Keys, ameshirikishwa na alifanya kulingana na maamuzi ya mwenye wimbo.

Kauli ya Swizz Beatz imekuja kutokana na baadhi ya mashabiki kusema Diamond aliwapa kiasi kidogo cha burudani  kwenye album ya Alicia Keys.

Diamond anasikika akitumia lugha ya Kiswahili katika uandishi wake kwenye wimbo ‘Wasted Energy’ kutoka kwenye album hiyo ambapo aliimba kwa sekunde zisizozidi ‘30’ mwisho wa wimbo.

Album ya hiyo  itakuwa ya 13 kutoka kwa Alicia Keys na album ya kwanza ndani ya miaka mitatu tangu alivyoachia albumu yake ya mwisho, Dirty Dancing 2 mwaka 2017.

BAADA ya kikosi chake kuanza vibaya ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi