loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mobetto azidi kuula Prima Afro

MWANAMITINDO na mwigizaji wa filamu, Hamisa Mobetto ameongezewa mkataba wa mwaka mmoja wa ubalozi wa kampuni ya nywele ya Prima Afro na kupewa tuzo ya ubalozi bora.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Hamisa alisema hakutarajia kupata tuzo hiyo na kushukuru kwa heshima aliyopewa.

“Sikutegemea kupata tuzo hii, ni heshima kwa kuwa balozi bora na nimeongezewa mkataba wa mwaka mmoja ni nadra sana kwa wasanii mkataba unapokwisha kuongezewa tena,”alisema Hamisa.

Naye Meneja Masoko wa Kampuni ya Prima Afro, Novatus Hekima, alisema wamemuongezea mkataba na kumpa tuzo kwa kufanya kazi kwa bidii kupitia ubalozi aliokuwa nao.

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi

Yanga bado sana- Kaze

masaa 14 yaliyopita Alexander Sanga,Mwanza

KOCHA Mkuu ...

Simba mwaka wa shetani

masaa 14 yaliyopita Mohamed Akida

MABINGWA wa ...

Yanga utaipenda tu

siku 1 iliyopita Alexander Sanga, Mwanza

KIKOSI cha Yanga chini ya kocha mpya Cedric Kaze kimeendelea ...