loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

AJALI: Watu 23 wafariki baada ya gari la mafuta kuanguka

Nchini Nigeria, watu 23 wamefariki Dunia, baada ya gari lililobeba tenki la Mafuta kuanguka na kuwaka moto katika Jiji la Lukoja Jimbo la Koji. Rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari amesema watu hao ni Pamoja na wanafunzi kadhaa ambao walikuwa katika eneo hilo.

“Tume ya Usalama Barabarani,  imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo” ameongeza "Nina wasiwasi mkubwa juu ya mzunguko wa majanga haya mabaya ambayo husababisha vifo visivyo vya lazima,"

Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni baada ya gari hilo kushindwa kukamata ‘breaki’na kuanguka likiwa katika barabara ya Lukoja kuelekea Abuja.

foto
Mwandishi: LUKOJA, Nigeria

1 Comments

  • avatar
    Emmanuel Hondi
    25/09/2020

    So what can I do?

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi