loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Ibrahimovic akutwa na virusi vya corona

Mshambuliaji wa AC Milan, Zlatan Ibrahimovic amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona. Mchezaji huyo sasa atatakwa kujitenga ili kuzuia kuambukiza wachezaji wengine. Anakuwa mchezaji wa kwanza wa klabu hiyo kukutwa na virusi hivyo.

 

VIGOGO wawili wa soka nchini Hispania Barcelona na Real ...

foto
Mwandishi: MILAN, Italia

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi