loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mngereza: Maadili ni sifa kwa wasanii kitaifa

KATIBU Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), Godfrey Mngereza amesema maadili ni moja ya sababu ya wasanii kuchaguliwa katika shughuli za kitaifa.

Akizungumzia Dar es Salaam jana Mngereza alisema wapo baadhi ya wasanii wa kike ambao wanafanya kazi zao vizuri na kufuata maadili ndio maana wanachaguliwa katika shughuli za kitaifa.

"Wapo wasanii wengi wa kike ambao wanafanya vizuri kazi zao na kufuata maadili bila kumtaja mmoja mmoja na hao ndio wanaochaguliwa katika shughuli za kitaifa na wasiofuata maadili pia wanajielewa, nawaomba wajirekebishe,"alisema.

Pia alisema "Kanuni zinazotolewa na BASATA ni kanuni za Bunge za mwaka 2018 sheria no: 23 za mwaka 1979 ambazo zinatoa maelekezo ya  kuzingatia.

Aidha msanii kabla ya kutoa wimbo anatakiwa kuhakiki kabla ya kufika kwa msikilizaji na mtazamaji.

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi

Yanga bado sana- Kaze

masaa 14 yaliyopita Alexander Sanga,Mwanza

KOCHA Mkuu ...

Simba mwaka wa shetani

masaa 14 yaliyopita Mohamed Akida

MABINGWA wa ...

Yanga utaipenda tu

siku 1 iliyopita Alexander Sanga, Mwanza

KIKOSI cha Yanga chini ya kocha mpya Cedric Kaze kimeendelea ...