loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Rasmi Samatta atua Fernerbahce ya Uturuki

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania rasmi ametolewa kwa mkopo wa msimu mmoja na Klabu yake ya Aston Villa kwende Klabu ya Fenerbahce inayoshiriki Ligi Kuu ya Uturuki.

Nyota huyo anatua Uturuki ikiwa ni takribani miezi nane tangu alipojiunga Aston Villa ya England akitokea Genk ya Ubelgiji.

Chanzo: @fernerbahce

VIGOGO wawili wa soka nchini Hispania Barcelona na Real ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi