loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Klopp aihofia Everton wakicheza leo

EVERTON inayofundishwa na Carlo Ancelotti inaweza kuwa “mshindani muhimu ajaye “wa Liverpool katika Ligi Kuu ya England, amasema kocha Jurgen Klopp.

Everton inaongoza katika msimamo wa ligi hiyo yenye timu 20 ikiwa na pointi zake 12 baada ya kucheza mechi nne na kushinda zote bila ya kipoteza mchezo hata mmoja ikiwa chini ya kocha huyo Muitalia.

Wenyeji mabingwa Liverpool wenye mskani yake Merseyside watachuana na Everton leo Jumamosi. “Nini ninachokifikiria kuhusu Carlo Ancelloti kamwe sio siri tena.

Siwezi kumuheshimu yeye zaidi. Ni mtu wa ajabu sana, alisena Klopp alipozungunza na BBC. “Wakati niliposikia anakwenda kusaini Everton nilifikiri ‘Uhhh, mshindani wa kweli sasa yuko katika mstari”.

“Walifanya mambo mazuri katika kipindi cha majira ya joto. Walifanya biashara nzuri katika kipindi cha majira ya joto.

Kwa kweli waliwapata wachezaji waliokuwa wakihitaji kuimarisha kikosi chao, ambacho kilikuwa na timu nzuri, Ancelotti alimbadili Marco Silva kama kocha wa Everton, ambako alishinda mataji ya Ligi Kuu katika nchi za Ujerumani, Ufaransa ma England akiwa na Chelsea mwaka 2009-10.

Pia alishinda mataji matatu ya Ligi Kuu kwa jina lake kama kocha na pia alitwaa mataji matatu ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya. Everton, msimu uliopita ilimaliza katika nafasi ya 12 katika msimamo wa Ligi Kuu, ambapo haikumaliza juu ya nafasi ya saba tangu mwaka 2013-14.

Baada ya kuimarisha kungo chake katika kipindi hiki cha majira ya joto kwa kuwasajili James Rodriguez, Allan na Abdoulaye Doucoure, wamekuwa na rekodi nzuri kwa asilimia 100 katika mashindano yote msimu huu.

Wamefunga mabao 24, huku mshambuliaji mpya mwenye miaka 23 anayeichezea timu ya taifa ya England, Dominic Calvert-Lewin amefunga mabao tisa kati ya hayo, ikiwemo hat-trick mbili.

Klopp alisema: “Calvert-Lewin, tayari nilimtarajia kufanya makubwa katika miaka michache ijayo na kweli amefanya kama nilivyotabiri, “alisema Klopp. CAIRO, Misri NCHI za Afrika zimekamilisha mitanange yake ya kujipima nguvu baada ya mechi kadhaa kuchezwa wiki hii.

Wakati mechi za klabu zikitarajia kuchezwa wikiendi ijayo, yafuatayo ni matokeo ya mechi hizo za kimataifa. ALGERIA 2-2 MEXICO Mabingwa watetezi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) Algeria wameendeleza rekodi yao hya kutofungwa hadi kufikia mechi 20 baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 dhidi ya mabingwa wa Kombe la Concacaf Gold Mexico licha ya kucheza karibu dakika zote wakiwa wachezaji 10.

Adlene Guedioura alitolewa nje dakika 10 baada ya mapumziko baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.

Algeria ilitoka nyuma baada ya Jesus Manuel Corona kuipatia Mexico bao katika dakika ya 43. Mabingwa hao wa Afrika walifanya matokeo kuwa sawa dakika mbili baadae wakati kiungo Ismael Bennacer alipogimga kwa shuti hafifu akiwa ndani ya boksi

MSHAMBULIAJI wa AC Milan, ...

foto
Mwandishi: LONDON, England

Post your comments

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi