loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

MAGUFULI APONGEZWA KUPELEKA UMEME VIJIJINI

 Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli amepewa pongezi kwa namna alivyowezesha vijiji 6,000 kati ya 12,000 nchini kote kupata umeme wa uhakika.

Pongezi hizo zimetolewa leo na Mhandisi Angiswa Mpembe kutoka Chama cha Wahandisi Washauri Tanzania (ACET),  kwenye mkutano wa sekta binafsi uliolenga kumpongeza Rais Magufuli kwa mafanikio ya miaka mitano ya uongozi wake.

Akizungumza katika mkutano huo Mpembe amesema kuwa mafanikio hayo yamepatikana kupitia vituo 110 vya uzalishaji umeme vilivyopo nchini kote.

Aidha, ameongeza kuwa kati ya mwaka 2015 hadi 2020 sekta binafsi imetoa mchango kubwa kwenye sekta ya Nishati ya umeme.

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doto ...

foto
Mwandishi: Alfred Lukonge

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi