loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Waziri wa Afya ‘Sauzi’ apata Corona

Waziri wa Afya wa Afrika Kusini ‘Sauzi’ Zweli Mkhize na Mkewe DkMay Mashego wamepata ugonjwa wa covid 19 unaosababishwa na virusi vya corona ambapo  kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi yake imethibitisha.

"Sasa niko katika karantini nyumbani, na mimi na mke wangu tunabaki na matumaini kwamba tutapona kabisa kutoka kwa virusi hivi," Mkhize alinukuliwa akisema katika taarifa hiyo.

Taarifa hiyo imetolewa mara baada ya Mkhize kupimwa siku ya  Jumamosi baada ya kuonyesha dalili dhaifu.

KWA muda wa siku nne mfululizo, nchi ya India imeweka ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi