loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

SIRRO: Musiwe na mihemko katika uchaguzi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ametoa wito kwa watanzania katika kipindi hiki cha uchaguzi kujihadhari na mihemko isiyokuwa na tija inayoweza kuwaletea matatizo.

Akizungumza na waandishi wa habari hii leo, Sirro amesema kila mtu anategemewa na familia yake, hivyo ni vyema kuepuka vurugu zinazoweka kuharibu amani iliyopo.

“Kama unajua hutopiga kura usiwe sehemu ya kuanzisha vurugu kwakuwa hapo jana usiku huko Pemba kipindi tunasambaza masanduku ya kupigia kura polisi walirushiwa mawe hivyo hatutarajii jambo hilo kujirudia” amesema Sirro

Amesema kuna maisha baada ya uchaguzi na kwamba ushindani wowote lazima mmoja ashinde na hata kama aliyeshinda ni adui yako unatakiwa kuvumilia.

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amesema serikali imeweza ...

foto
Mwandishi: Na Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi