loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

SADC yaitakia Tanzania amani kwenye mchakato wote wa uchaguzi

 

WAKATI zoezi la kuhesabu kura likiwa tayari linaendelea, Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imeitakia Tanzania mchakato mwema kwenye zoezi lote la uchaguzi huku ikihimiza amani.

Hayo yamesemwa leo na Katibu Mkuu wa Sekretarieti wa SADC Dk Stergomena Tax wakati alipozungumza kwa njia ya simu na HabariLeo ambapo kwenye mazungumzo hayo alisisitizia amani na upendo miongoni mwa Watanzania.

"Tunawatakia unchaguzi mwema na wa amani. SADC inaitambua Tanzania kama kitovu cha Upendo na amani, ni matumaini yetu kuwa sifa hii itadumishwa katika uchaguzi huu na zijazo," amesema Dk  Tax.

 

Rais wa Tanzania Dk John Magufuli ...

foto
Mwandishi: Gloria Tesha

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi