loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

MATOKEO MAJIMBO YA ILALA KUTANGAZWA LEO

MKURUGENZI  wa   Halmashauri Manispaa ya Ilala  Jumanne Shauri amesema kuwa upo uwezekano mkubwa wa matokeo ya Ubunge ya Jimbo la Ilala, Segerea na Ukonga kutangazwa leo kutokana na utaratibu unavyoendelea.

“Zoezi la kuhesabu kura linaendelea na kila kitu kipo shwari, kuna uwezekano mkubwa matokeo yote ya majimbo hayo niliyoyasema yakatangazwa leo,” amesema

Kwa upande wa Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Kinondoni Aron Kagurumjuli ameweka bayana kuwa uchaguzi umeenda vizuri.

Amesema wanasubiri mchakato mzima wa uhesabuji wa kura katika kata ambazo zitawasilishwa katika Jimbo husika ambapo napo watahesabu na yatakapo kamilika basi matokeo yatatangazwa.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es ...

foto
Mwandishi: Maria Kalonga

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi