loader
Dstv Habarileo  Mobile
TPA
Picha

JPM aongoza kura za awali urais Tanzania

RAIS John Pombe Magufuli anaongoza kwenye kura za awali ikiwa matokeo hayo yameanza kutangazwa leo alhamisi na Tume ya Uchaguzi wa Taifa (NEC)

Kwa mujibu wa matokeo ya awali kutoka kwenye majimbo 16, Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mtaafu Semistocles Kaijage akitangaza matokeo ya awali kwenye majimbo 12, Rais Magufuli alionekana akiwa amewaacha kwa mbali wagombea wengine 14 wa urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Muda mdogo ujao, NEC itatangaza matokeo ya majimbo mengine manne.

Rais wa Tanzania Dk John Magufuli ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi