loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Hatma ya Trump na Biden ni leo

Taifa la Marekani hii leo linapiga kura kumchagua Rais atakayeongoza taifa hilo kwa muda wa miaka minne ijayo. Hadi kufikia jana Jumatatu, wapiga kura milioni 100 walipiga kura katika vituo na kwa njia ya posta.

Rais wa Marekani, Donald Trump na mpinzani wake Joe Biden wamefunga kampeni za uchaguzi wa nchi hiyo unaotarajiwa kufanyika hii leo katika majimbo muhimu.

Biden wa Chama Cha ‘Democratic Party’ amemaliza kampeni zake huko Pennsylvania na Ohio, wakati Trump akihitimisha kampeni Michigan, North Carolina, Pennsylvania na katika uwanja marufu wa vita wa Wisconsin.

Katika kura za maoni imeonekana kuwa Biden ana asilimia kubwa za kushinda uchaguzi huo,ingawa inaonekana ana nguvu ndogo katika majimbo muhimu ambayo yanaweza kuamua matokeo ya mshindi wa nafasi ya urais.

 

WANACHAMA wa Chama cha Republican nchini ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi