loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Dk Shein, Mwakyembe waula uteuzi mpya wa rais Magufuli

Rais wa Tanzania Dk John Magufuli leo amefanya uteuzi wa viongozi watatu katika taasisi tatu tofauti, katika uteuzi huo, rais Magufuli amemteua aliyekuwa rais wa Zanzibar Dk Ali Mohammed Shein kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe akichukuwa nafasi ya Jaji Barnabas Samatta aliyemaliza muda wake.          

Aliyekuwa Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Barala la Chuo Kikuu cha Afya na Sanyansi Shirikishi (MUHAS) Mwakyembe anachukuwa nafasi ya Mariam Joy  Mwaffisi aliyemaliza muda wake.

Gaudentia Mugosi Kabaka ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Kwa mujibu wa katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi uteuzi huo unaanza rasmi leo.

Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili ...

foto
Mwandishi: Rahimu Fadhili

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi