loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Rais wa zamani wa Ufaransa afariki  

Rais wa zamani wa Ufaransa, Valery Giscard amefariki  dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya Corona akiwa na umri miaka 94.

Giscard alikuwa akisumbuliwa na magonjwa mbalimbali na kupelekea kulazwa mara kadhaa hivi karibuni, alifariki jana kwenye nyumba yake Mkoa wa Loire, akiwa amezungukwa kitandani na familia yake.

Tayari Rais wa Ufaransa, Emmanuel Marcon ameto salamu zake za pole huku akimtaja kiongozi huyo wa zamani wa taifa hilo kuwa katika miaka yake saba ya uongozi alifanikiwa kuibadilisha ufaransa kwa kiasi kikubwa.

WANACHAMA wa Chama cha Republican nchini ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi