loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

  Kylie Jenner awapiku wanasoka kwa mkwanja

MWANAMITINDO na mfanyabiashara, Kylie Jenner ametajwa kuwa ndiye mtu mashuhuri aliyeingiza mkwanja mrefu zaidi katika orodha iliyotolewa na Jarida la Forbes ya mastaa 100 walioingiza fedha nyingi zaidi mwaka huu.

Mapato ya Kylie Jenner mwaka huu yalikuwa dola za Marekani milioni 590 baada ya kuuza hisa nyingi za chapa yake kwa Coty Inc.

Msanii Kanye West anashika nafasi ya pili kwa kukusanya mapato mengi zaidi mwaka huu kutokana na mauzo ya viatu vyake Adidas Yeezy Sneakers.

Ifuatayo ndiyo orodha ya mastaa waliowafuatia Kylie Jenner na Kanye West ambapo namba tatu ni  Roger Federer  aliyeingiza dola milioni 106.3 na Cristiano Ronaldo aliingiza dola milioni 105.


Lionel Messi anashika nafasi ya tano kwa kuingiza dola milioni 104, Tyler Perry aliingiza dola milioni 97, Neymar aliweka kibindoni dola milioni 95.5, Howard Stern alivuna dola milioni 90, LeBron James dola milioni 88.2 na Dwayne Johnson (The Rock) aliyeingiza dola milioni 87.5

KOCHA Atalanta Gian Piero Gasperini amesema mwamuzi aliharibu ...

foto
Mwandishi: LOS ANGELES, Marekani

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi