loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Uzuri wa ngozi huanzia ndani

UZURI wa ngozi huanzia ndani. Hivyo unavyoitunza ngozi yako kwa kuipaka mafuta vizuri lazima utapata matokeo mazuri kwani ngozi itakua na mng’ao mzuri.

Mafuta ya mwili ya nazi ni mafuta ya asili yenye uwezo wa kuifanya ngozi yako kuwa laini na ing’ae kuanzia ndani. Siyo hivyo tu, asidi ya lauriki iliyo katika mafuta hufanya ngozi yako kuwa na mng’ao wa asili kama hapo awali.

Kwa mafuta ya nazi lazima upate ngozi mpya yenye kung’aa. Lakini ngozi yako inaweza kuwa na unyevu muda wote.

Njia mojawapo ya kufanya ili uone faida ya mafuta haya ni kuyapaka baada ya kuoga, yaani wakati ngozi yako ikiwa na unyevunyevu. Ukipaka mafuta ngozi ikiwa katika unyevunyevu inafanya mafuta kushikana na maji na kuingia ndani kabisa ya ngozi yako.

UCHAGUZI Mkuu wa Shirikisho la Riadha ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi