loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Ndege yapotea ikiwa na abiria 50

Ndege  ya abiria iliyobeba watu zaidi ya 50 imepotea na haijulikani ilipo muda mfupi baada ya kuruka kutoka katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta

Ndege hiyo aina ya Boeing 737 ya Shirika la Sriwijaya ilipoteza mawasiliano ikiwa safarini kuelekea Pontianak katika mkoa wa Kalimantan Magharibi, maafisa wa anga wa nchi hiyo wamesema.

Kwa mujibu ya tovuti ya ufuatiliaji wa ndege Flightradar24.com imebainisha kuwa ndege hiyo imepotea zaidi ya mita 3,000 kwa urefu chini ya dakika ambazo ni sawa na futi 10,000.

WANACHAMA wa Chama cha Republican nchini ...

foto
Mwandishi: JARKATA, Indonesia

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi