loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

DJ Ommy afariki dunia

MMOJA wa Dj bora wa redio hapa nchini, Dj Ommy amefariki dunia juzi jioni.

Kwa mujibu wa mtangazaji wa redio One, Abdalla Mwaipaya ambaye amewahi kufanya kazi naye  Dj  Ommy ambaye ni miongoni mwa wazilishi wa Kwa fujo djs alifariki  baada ya kuugua kw amuda.

Alisema Dj Ommy alikuwa na uwezo mkubwa wa kuchanganya  muziki hasa wa dansi na alikuwa na kipaji cha ubunifu wa jingle za redio.

“Wakati yupo Radio One ndiye aliyebuni jingle zilizokuwa zinawataja watangazaji wote zikiimbwa na Papii Kocha na marehemu Mao Santiago,” aliandika.
 

Kwa wale wanaozikumbuka ni ile inaimbwa wajifanya wanajuaaa kumbe waungua juaaa radio one kiboko yao. Dj Ommy amechukua ameweka waa Abubakari Sadiki shangilia ushindi unakuja.. nk,”.

Alongeza alijua kukaa kwenye kipindi chochote iwe Dj shoo au midundo motomoto kitambulisho chake kikubwa kilikuwa ni kicheko chake kilichoacha alama.

 

KOCHA Mkuu wa Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

1 Comments

  • avatar
    Tarimo
    12/01/2021

    Huo jingle naukumbuka sana miaka hiyo nikiwa primary school. Tatizo kutunza kumbukumbu enzi hizo ilikua ngumu sababu ya technology ya wakati huo. Tungeupata tukausikiliza Tena TBT

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi