loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mwigizaji wa Isidingo afariki dunia

Mwigizaji wa Afrika Kusini, Lindiwe Ndlovu amefariki dunuia. 

Taarifa zinasema Lindiwe alikutwa na umauti nyumbani kwake Jumatatu ya wiki hii.

Chanzo cha kifo chake hakijajulikana hadi sasa.

Lindiwe alicheza filamu na vipindi vingi vya runinga ikiwa ni pamoja na Lockdown, Isidingo, Zabalaza, Isono na Egoli.

Aidha anafahamika kama mwigizaji aliyejituma na kuipenda sana kazi yake.

Aidha taarifa zimesema kuwa Lindiwe alisherehekea kumbukumbuku ya siku ya kuzaliwa, kwa kufikisha miaka 45 wiki iliyopita

KOCHA Mkuu wa Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ...

foto
Mwandishi: Isdory Kitunda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi