loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mawaziri wawili wafa kwa Corona Malawi

Rais wa Malawi Lazarus Chakwera, ametangaza siku tatu za kuomboleza nchi nzima kufuatia vifo vya mawaziri wake wawili,  Lingson Belekanyama na Muhammad Sidik waliofariki  jana kwa Corona.

Vifo vya mawaziri hao vilithibitishwa na  Waziri wa Habari nchini humo, Gospel Kazako.

Lingson alikuwa Waziri wa Serikali za Mitaa huku Muhammad akiwa Waziri wa Uchukuzi.

Mgombea Urais nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama ...

foto
Mwandishi: Isdory Kitunda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi