loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Wananchi Vunjo kunufaika na maji safi

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Charles Kimei amesema wananchi wataanza kupata huduma ya maji safi na salama baada ya Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) kumaliza kufanya tathimini  ya upatikanaji wa maji jimboni humo.

Kimei amebainisha hayo jana jimboni humo mkoani Kilimanjaro ambapo ametaja kata zitakazonufaika baada ya kufanyika tathimini  ni Kilema Kaskazini, Kilema Kusini na maeneo ya ukanda wa tambarare.

“ Muda sio mrefu wananchi mtaanza kupata huduma ya uhakika ya maji  baada ya upembuzi yakinifu kukamilika kwakuwa tatizo la maji limekuwa kero kwenu kwa kipindi kirefu licha ya kuwepo vyanzo vingi vya maji katika maeneo haya” amesema Kimei.

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi