loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Walimu wanaokiuka maadili kukiona

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya ufundi imesema itaendelea kutoa adhabu kali kwa walimu wasiofuata maadili ya ualimu katika utendaji kazi wao.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Leonard Akwilapo ameyasema hayo leo akizungumzia taarifa ya Tume ya utumishi wa Walimu Tanzania (TSC) kuwa makosa  yanayofanywa na baadhi ya walimu kuw ani utoro,ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi.

Amesema walimu ni sawa na wafanyakazi wengine pale anapoenda kinyume na maadili yake ya kazi hususan ya walimu walioapishwa maadili vyuoni lazima kuchukuliwa hatua za kisheria.

NAIBU Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi