loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Mndeme awapongeza walimu ufaulu kidato cha sita

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amesema ufaulu wa 98.68% wa matokea ya kidato cha sita kitaifa ya mwaka jana ulitokana na jitihada za dhati  zilivyofanywa na walimu kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu.

 

Mndeme amesema hayo mkoani humo kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa kilichofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Songea.
 

“Niwapongeze wadau wote wa elimu wa Mkoa wa Ruvuma kwa jinsi mnavopambana kuinua kiwango cha ufaulu mkoani hapa na matunda ya jitihada zenu yameonekana kwa mwaka uliopita (2020)." amesema Mndeme.

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi