loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

AU yanunua chanjo ya Corona

Umoja wa Afrika umenunua dozi milioni 270 za chanjo ya corona ili kusambaza barani Afrika.

Dozi zote zitatumika mwaka huu, amesema Mwenyekiti wa AU ambaye pia ni rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa.

Idadi hiyo  ni nyongeza ya dozi milioni 600 ambazo zilikuwa zimeahidiwa tayari ambazo bado hazitoshi kutoa chanjo kwa bara zima la Afrika.

SERIKALI ya China imesema inatarajia ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi