loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

UCHAGUZI UGANDA: Museveni aanza kumtimulia vumbi Bobi Wine

Tume ya Uchaguzi ya Uganda imeanza kutoa matokeo ya awali yanayoonesha kuwa Rais aliyeko madarakani,  Yoweri Museveni anaongoza dhidi ya mpinzani wake wa karibu  Robert Chagulanyi 'Bobi Wine'. 

Kwa mujibu wa BBC Swahili, tayari tume hiyo imeanza kutoa matokeo ya awali leo, Ijumaa, kutoka vituo 330 vya kupigia kura. yanayoonesha Museveni anaongoza katika mbio za kukitetea kiti chake kwa muhula wa sita. 

Nchi hiyo katika uchaguzi wa mwaka huu imeweka   jumla ya vituo 34,684 vya kupigia kura nchi nzima.

Mwenyekiti wa Tume hiyo Simon Byakamba amenukuliwa akisema: “Hatutumii mtandao wa ndani kusambaza matokeo bali tunatumia mfumo wetu, wananchi wasijali matokeo yatatoka tu licha ya kwamba mtandao umefungwa.”

SERIKALI ya China imesema inatarajia ...

foto
Mwandishi: KAMPALA, Uganda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi