loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Bobi Wine apinga matokeo Uganda, ajitangaza mshindi kiti cha urais

Mgombea Urais nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama 'Bob Wine' amepinga mchakato wa utoaji matokeo wa nafasi hiyo unaoendelea nchini humo.

Taarifa zinabainisha kuwa, matokeo ya awali yanaonesha Rais Yoweri Museveni anaongoza kwa wingi wa kura.

Bob Wine kutoka Chama cha National Unity Platform (NUP) anadai uchaguzi huo uliofanyika jana ulitawaliwa na wizi mkubwa ambao haujawahi kutokea katika historia za chaguzi zilizowahi kufanyika nchini humo.

Licha ya Tume ya Uchaguzi nchini humo kuendelea na mchakato wa kuhesabu kura, Bob Wine tayari amejitangaza kuwa yeye ndiye mshindi halali wa kiti hicho.

SERIKALI ya China imesema inatarajia ...

foto
Mwandishi: KAMPALA, Uganda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi