loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Bruno aichimbia mkwara Liverpool

Kiungo wa Man United, Bruno Fernandez amechagua kuishi kwenye ndoto za kuhakikisha anawanyima Liverpool ubingwa wa 20 wa Ligi Kuu England kwa kuwa tu hataki walingane na badala yake anataka United itwae kwa mara ya 21 msimu huu.

“Sitaki kuona mahasimu wangu nalingana nao kwa idadi makombe, ni wazi kabisa watu wote hata mashabiki wanaelewa nini namaanisha itapendeza zaidi tukitwaa ubingwa wa 21 na wengine kule wabaki na 19,”amesema Bruno. 

Jana Bruno alishinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Disemba  ikiwa ni mara yake ya nne msimu huu na kuweka historia  ya kufany hivyo kwa mara ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu England. 

 

Kinachovutia zaidi, timu hizo kesho zinakutana katika mchezo wa raundi ya kwanza wa Ligi Kuu England utakaopigwa Uwanja wa Anfield Liverpool.

KOCHA wa Tottenham Spurs, Jose Mourinho amesema kwamba kila kitu ...

foto
Mwandishi: MANCHESTER, EnglandĀ 

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi