loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Wilaya ya Mkinga yaongoza kwa walowezi

Mkuu wa Wilaya ya Mkinga iliyopo mkoani Tanga, Mark Yona amesema wilaya hiyo inaongoza kuwa na walowezi wengi kutoka nchini Kenya wanaokadiriwa kufika   takribani 12,000 kutokana na mwingiliano mkubwa wa watu na taifa hilo.  
 
Yona amesema hayo wilayani humo kwenye Kata ya Duga inayopakana na nchi jirani ya Kenya wakati wa uzinduzi wa uandikishaji wa walowezi wanaotoka nchini humo akimuwakilisha Mkuu wa Mkoa huo, Martin Shingella.
 

“Walowezi wengi kutoka nchini Kenya walikuja hapa nchini kwa sababu ya shughuli za kilimo cha Mkonge na mkoa huu una historia kubwa ya kupokea wahamiaji toka kipindi cha ukoloni kutoka nchi mbalimbali kama Msumbiji, Burundi na Kongo DRC waliokuwa manamba katika mashamba hayo” amesema Yona.

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi