loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Museveni atangazwa mshindi kiti cha Urais Uganda

TUME ya Taifa ya Uchaguzi Uganda imemtangaza aliyekuwa mgombea wa chama cha NRM, Yoweri Museveni kuwa rais wa awamu ya sita kwa ushindi wa asilimia 58.64.

Katika uchaguzi mkuu uliofanyika  Januari , 14 mwaka huu, Museveni amepata kura  5,851,037. Mwenyekiti wa Tume, Justice Byabakama alitangaza matokeo hayo jana.

Mpinzani mkuu wa Museveni, mwanamuziki Robert Kyagulanyi, maarufu Bobi Wine, ameshika nafasi ya pili kwa kupata kura 3,475,398 sawa na asilimia 34.83 ya kura zote.

Alisema Mgombea wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) Amuriat Oboi  alipata kura 323,536  sawa na asilimia 3.24 huku wagombea waliobakia wakipata asilimia chini ya moja.

Museveni mwenye umri wa miaka 76, amekuwa madarakani kwa miaka 35. 

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya moyo katika Taasisi ...

foto
Mwandishi: KAMPALA ,Uganda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi