loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Seif Sharif: Vyama visitugawe

MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Seif Sharif Hamad amesema misimamo ya vyama vya siasa isitumike kusababisha mifarakano na kuwagawa wananchi wa Zanzibar.

Amesema jamii nyingi zimefarakana na kutengana kwa sababu ya misimamo ya kisiasa na amewataka wananchi wabadilike na waendane na kasi ya Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais Dk Hussein Mwinyi katika kuwaunganisha wananchi.

Maalim Seif ameyasema hayo leo wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini B,  Bumbwini, Unguja akiwa katika ziara za kuhimiza mshikamano wa maridhiano ya kisiasa visiwani hapa.

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imepongeza uthubutu ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi