loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

NEC: Sheria zifuatwe kwa wanaopinga uchaguzi wa 2020

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), Jaji Semistocles Kaijage amesema zipo taratibu za kisheria zinatakiwa kufuatwa pindi uchaguzi wowote unapofanyika na kutokea kasoro.

Kaijage amebainisha hayo kufuatia nchi ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo baadhi ya maofisa wa Serikali ya Tanzania wakiwatuhumu kuvuruga Uchaguzi Mkuu uliopita (2020).

“Unaposema uchaguzi umeingiliwa ni ‘general statement’ ni lazima utoe ufafanuzi umeingiliwa kivipi na sheria zetu zipo wazi baada ya uchaguzi mtu akiona mambo yameenda ndivyo sivyo anaweza kwenda mahakamani kushtaki” amesema Kaijage.

Aidha, Kaijage amebainisha kuwa uchaguzi huo ulikuwa na waangalizi na tayari wameshatoa ripoti zao za awali huku wakiendelea kutoa ripoti zao kuu.

DAKTARI bingwa wa magonjwa ya moyo katika Taasisi ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi