loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Majaliwa akabidhi nyumba, fedha milioni 18.9 kwa mwanamama mmoja Tanga

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amemkabidhi nyumba yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 40 mkazi wa Korogwe mkoani Tanga, Miriam Shemndolwa ambaye ni mlemavu wa viungo.

Majaliwa amemkabidhi binti huyo hati ya nyumba hiyo aliyoagiza ajengewe ili iweze kumsaidia katika maisha.


Pia Miriam alichangiwa Sh milioni 18.9 kwa ajili ya kumuwezeshakuanzisha shughuli za kumuingizia kipato.

Katika fedha hiyo aliyochangiwa leo,  Rais Dk John Magufuli alichangia Sh milioni 10, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan  alitoa Sh milioni tano, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa laki tano, na kiasi kilichobaki kilitolewa na viongozi wa serikali pamoja na wananchi.

Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof  Sospiter Muhongo ameanzisha ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu, Tanga

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi