loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

 Kunenge awataka wakazi Dar es salaam kujitokeza kupata msaada wa kisheria

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge amewataka wakazi wa jiji hilo kufika kwa wingi katika viwanja vya Mnazi Mmoja ili kupata ushauri na msaada wa mambo ya kisheria bila malipo.
 
RC Kunenge ameyasema hayo leo wakati akifungua maadhimisho ya wiki ya sheria katika Kanda ya Dar es Salaam yaliyoenda sambamba na maadhimisho ya Mahakama Kuu ya Tanzania kutimiza Miaka 100.
 
“Natoa wito kwa wakazi wa Dar es Salaaam kujitokeza kwa wingi wakiwemo watendaji wa serikali na waajiri wote ili wapate suluhisho la   matatizo mbalimbali ya kisheria ambayo  uwa wanakutana nayo” amesema Kunenge.

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imepongeza uthubutu ...

foto
Mwandishi: Alfred Lukonge

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi