loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Shem aiomba Serikali kupunguza usajili dawa asili

Katibu wa Shirikisho la Vyama vya Tiba Asili nchini, Othaman Shem ameomba Serikali kuangalia upya uwezekano wa kupunguza gharama kubwa ya usajili wa dawa za asili.

Shem ametoa wito huo mkoani Morogoro  kwenye maonesho ya mimea dawa kwa wadau wa tiba za asili yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA).

“Gharama kubwa za usajili wa dawa za asili imekuwa ni kikwazo kwa wataalamu wa tiba asili kuweza kuingiza dawa hizo kwenye soko la ndani na nje ya nchi," amesema Shem.

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imepongeza uthubutu ...

foto
Mwandishi: Mwandishi Wetu

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi