loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Weah haamini ubora wa Ronaldo

Mchezaji wa zamani wa AC Milan, George Weah amesema Cristiano Ronaldo sio mchezaji bora ulimwenguni, lakini anamchukulia mreno huyo kama kioo kwa wachezaji wachanga.

“Namfananisha Ronaldo na Zlatan Ibrahimovic ambaye kwa sasa wachezaji chipukizi wengi wanajifunza kutoka kwake licha ya umri kumtupa mkono lakini  bado anasakata kabumbu kwa kiwango kikubwa“ amesema Weah amabaye pia kwa sasa ni Rais wa nchi ya Liberia.

Weah anaamini Ronaldo kutokana na kujituma kwake bado ataendelea kutikisa katika ulimwengu wa soka hata kama akifikisha umri wa miaka 40.

 

MMILIKI na Rais wa klabu ya Mamelod Sundown ya Afrika ...

foto
Mwandishi: MONROVIA, Liberia

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi