loader
Dstv Habarileo  Mobile
Picha

Majeshi yaondoka nyumbani kwa Bob Wine

Vikosi vya majeshi ya Uganda vimeondoka kwenye makazi ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu ‘Bobi Wine’ baada ya Mahakama nchini humo kuamuru kufanya hivyo siku tatu zilizopita.

Majeshi hayo yalikua yamezingira nyumba ya ‘Bob Wine’ na kumuweka kizuizini tangu  Januari 14,2020.

Vikosi hivyo vya usalama viliweka kambi nyumbani kwa Bobi ‘Wine’ mara baada ya uchaguzi kwa kile walichodai kuwa ni kumlinda. 

Uchaguzi huo mkuu wa Uganda, ulimpa ushindi Rais Yoweri Museveni, matokeo ambayo yamepingwa na ‘Bob Wine’ akidai kuwa uligubikwa na udanganyifu.

SERIKALI imeanza mpango wa kitaifa wa ...

foto
Mwandishi: KAMPALA, Uganda

Post your comments

Tangazo

CRDB

Habari Nyingine

Categories

habari zaidi zinazoendana na hii

mpya # zaidi